- +254 799 769742
- [email protected]
Chata
Ksh 15,000
This is a compact 2 bedroom open plan house. The lounge and kitchen flow into each other to give a large living area with adjacent well organised bedrooms with a shared bath. It fits well in a 50x100 Plot.
Chata ni nyumba ndogo ya familia nchanga. Ina vyumba viwili vya kulala na bafu moja. Iko na kikao kikuu chenye nafasi nzuri ya kujistari. Jikoni iko wazi, na iko na meza ndogo ya kukulia. Chata ni nyumba itatoshea vyema kwenye ploti ya 50x100.
2 Bedrooms
Shared Bathroom
Open Plan Kitchen with Breakfast Counter
Lounge
Front Porch
Dhobi back yard
House set on 50x100 plot
Upgrade your account to view this content
Upgrade your account to view this content
Upgrade your account to view this content